Kiswahili Revision Questions and Answers

Maswali ya Hadithi Fupi : K. WAMITILA: MAYAI WAZIRI WA MARADHI NA HADITHI NYINGINEZO na Majibu Yake
- By guru
- . March 17, 2022
Maswali ya Hadithi Fupi : K. WAMITILA: MAYAI WAZIRI WA MARADHI NA HADITHI NYINGINEZO 1. Â Ukirejelea mkusanyiko wa hadithi fupi: Mayai Waziri wa Maradhi na

Maswali ya Fasihi Simulizi na Majibu Yake
- By guru
- . March 17, 2022
Maswali ya Fasihi Simulizi 1.  Soma kisha ujibu maswali  Lala mtoto lala x2 Mama atakuja lala Alienda sokoni lala Aje na ndizi lala Ndizi ya

Maswali ya Ushairi na Majibu Yake
- By guru
- . March 17, 2022
1.  SHAIRI ‘A’. Umekata mti mtima Umeangukia nyumba yako Umeziba mto hasira Nyumba yako sasa mafurikoni Na utahama Watoto Wakukimbia  Mbuzi kumkaribia chui

Maswali ya TAMTHILIA: KIFO KISIMANI: KITHAKA WA MBERIA na Majibu Yake
- By guru
- . March 17, 2022
Maswali ya TAMTHILIA: KIFO KISIMANI: KITHAKA WA MBERIA 1.  Kwa kurejelea tamthilia ya “Kifo Kisimani”, eleza jinsi utawala mbaya unavyoathiri jamii  2.  Kwa kurejelea

Maswali ya RIWAYA: UTENGANO: S.A. MOHAMMED na Majibu Yake
- By guru
- . March 17, 2022
Maswali ya RIWAYA: UTENGANO: S.A. MOHAMMED 1. ‘Pesa iweke mbele, Pesa mwanzo. Sisi tuna msemo wetu. Watose. Ndio, watose, maana sisi tumeshatoswa (a) Eleza muktadha

Maswali ya Isimu Jamii na Majibu Yake
- By guru
- . March 17, 2022
Maswali ya Isimu Jamii  1.  Saidi : Hallo…………Hallo….Huyo ni Bw. Mohamed? Mohamed  : Ndio…uko wapi… Saidi : Shuleni…sasa…ulinifikishia ujumbe? Mohamed  : La. Parade ilikuwa

Maswali ya Matumizi ya lugha na Majibu Yake
- By guru
- . March 17, 2022
Maswali ya Matumizi ya lugha 1. (a) Badilisha sentensi ifuatayo iwe mazoea kwa kutumia kirejeshi “O“  Mtoto anayelia huchapwa  (b) Andika kinyume   Wavulana watatu

Maswali ya Ufupisho na Majibu Yake
- By guru
- . March 17, 2022
Maswali ya Ufupisho  1. Soma taarifa hii kisha ujibu maswali  Umaskini ni tatizo sugu katika jamii. Binadamu wengi hujikuta katika hali hii kwa

Maswali ya UFAHAMU na Majibu Yake
- By guru
- . March 17, 2022
Maswali ya UFAHAMU 1. Â Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali. Panografia ni tendo, maandishi, picha au michoro inaoonyesha au kueleza uchi wa mtu au vitendo

Maswali ya Insha za kawaida na Majibu Yake
- By guru
- . March 16, 2022
Maswali ya Insha za kawaida 1. Â Andika insha itakayotamatika na ….kweli dunia ni mwendo wa ngisi, ina masalata wengi. 2. Â Elimu bila malipo nchini Kenya

Maswali ya Insha za kiuamilifu na Majibu Yake
- By guru
- . March 16, 2022
Maswali ya Insha za kiuamilifu 1. Â Andika mahojiano baina ya mkuu wa wilaya na mwandishi wa habari kuhusu utovu wa usalama wilayani mwako. Â Â